We deal with software installation, driver installation, greetings, wedding card design, graphics design, blog design, business card design, photography editing and windows installation.
PORTFOLIO OF COMPUTER NETWORK
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Portfolio is the collection of all reflection notes during lectures. below are the portfolio for TE 121
Kila mmoja atakuwa anataka kuona rekodi mpya ikitengenezwa na timu yake anayoipenda na pengine rekodi hiyo idumu kwa muda mrefu ili iendelee kumuumiza mpinzani wake kila inapotokea kubishana kisoka na kunogesha utani wao pindi wanapokutana. Timu hizo mbili zitakuwa zinaingia uwanjani zikiwa narekodo mbili kubwa tofauti na ambazo hutumika kama silaha kwa mshabiki wao katika mazingira ya kutambiana na kuendeleza utamadunia wa jadi katika utani huo. Simba ndio klabu yenye rekodi nzuri ya kuifunga yanga mara nyingi kwa idadi kubwa ya mabao, huku rekodi ya juu kabisa ikiwa ni mwaka 1977 iliposhinda goli 6-0 kichapo kibaya na cha aibu kwa mashabiki wa Yanga na kila wanapokumbushwa kichapo hicho wanakosa namna ya kujitetea kwani katika miaka ya hivi karibuni inaonekana ni vigumu sana Yanga kulipa kisasi hata kama Yanga itakuwa na kikosi bora kiasi gani, lakini mambo huwa yanakuwa magumu kwa upande wao. Ilikuwa Julai 19, mwaka 1977 Simba ikiichapa Yanga goli hizo ambazo zilifungwa ...
dear, users i'm glad to inform you that from 16th Jully 2017 we are going to start a presentation of adobe products by checking what are the adobe products how they work how are used an we will pass through different aspects, i wish you all the best. ndugu, watumiaji wa blog yangu napenda kuwataarifu kuwa kuanzia 16 julai 2017 tutakwenda kuanza uwasilishaji wa bidhaa za adobe kwa kuangalia nini maana ya adobe product jinsi gani zinafanya kazi jinsi gani zinatumika na tutapitia sehemu mbalimbali , nawatakia maandalizi mema ya kupokea kile ntakacho waandalia na naamini mtajifunza kitu.
The Sun.Klabu ya Everton iko kwenye mpango wa kujaribu kuwanunua Oxlade Chamberlain wa Arsenal na Gylfi Sigurdson wa Swansea ili kuziba nafasi ya Ross Barkley ambaye anaweza kuondoka klabuni hapo, inasemekana klabu ya Chelsea imeshafanya mawasiliano ya awali na mshambuliaji wa Everton Romelu Lukaku ili kumrudisha katika klabu hiyo kwa £70m. Gazeti la The Sun tena linasema baada ya kutimuliwa na Leicester City msimu uliopita kocha Claudio Ranieri anaweza kurejea katika ligi kuu ya Uingereza lakini safari hii akiifundisha Wataford na klabu za Manchester United na Chelsea wameshindwa na Ac Millan katika mbio za kumnunua Frank Cassie toka Atlanta. Daily Mail.Baada ya kuboronga akiwa na klabu ya Tottenham sasa kiungo Paulinho yuko njiani kumwaga wino kuitumikia klabu ya Bayern Munich,habari nyingine ni kwamba pamoja na mchezaji wao kuwindwa na timu kubwa lakini Fulham hawana mashaka kuhusu Ryan Sessgon kwani wanaamini atasaini mkataba mpya. Daily Mirror.Arsene Wenger anapambana sa...
Comments
Post a Comment