Posts

Showing posts from October, 2017
Image
JE WAJUA KWA SHILINGI LAKI TATU UNAWEZA ANZISHA MTAJI WAKO WA KUKU WA KIENYEJI? LEO TUANGALIE MCHANGANUO WA TSHS 300,000/= (LAKI TATU) KWA KUANZISHA MRADI WA UFUGAJI KUKU WA KIENYEJI.   Hapa tuta hitaji kuku 11 tu wakubwa wanao taga yani majike 10 na Jogoo 1 tu. Kwa kutumia kuku hao 11 baada ya miezi mitatu unaweza ukawa na kuku mia Tatu 300 au na zaidi kama unataka.   Nunua kuku wako katika chanzo cha kuaminika kuepuka magonjwa usinunue kuku sehemu za masokoni au kwenye mabanda ya njiani au kuku wanao safirishwa kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine.   Unapo nunua kuku wakubwa kwanza unapo wafikisha wape chanjo ya mdondo (Newcastle vaccine) ili kuweka rekodi yako ya chanjo maana chanjo hii hurudiwa kila baada ya miezi 3. Ukumbuke tarehe uliyo wachanja na tarehe utakayo wachanja tena baadae.   Usinunue kuku kabla hujaandaa banda na Chakula.   Katika sh. 300000 toa sh.69500 ambayo utanunua Chakula cha kuku, kuku hawa hawana formula ya Chakula hivyo unaweza kununua material ukachanganya
Image
 ICT WITH DEVELOPMENT...................... ICT imekuwa nyenzo kubwa sana katika maendeleo ya mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla. pia ICT imeleta mapinduzi makubwa katika suala la maendeleo ya watu na taifa kwa ujumla nchi nyingi zilizoendelea tunaona jinsi gani ICT imewaongezea ufanisi na faida katika sekta na kazi mbalimbali katika kulizungumzia hili tutaangalia ni jinsi gani ICT inachocchea maendeleo katika pande zote kama kilimo biashara viwanda ujenzi ubunifu mashuleni hospitalini serikarini manyumbani na hata makanisani endelea kutembelea blog yangu utafahamu mengi kuhusu ICT........... Itaendelea tarehe 05/10/2017  usikose hii sio ya kukosa