ICT WITH DEVELOPMENT......................
ICT imekuwa nyenzo kubwa sana katika maendeleo ya mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla. pia ICT imeleta mapinduzi makubwa katika suala la maendeleo ya watu na taifa kwa ujumla nchi nyingi zilizoendelea tunaona jinsi gani ICT imewaongezea ufanisi na faida katika sekta na kazi mbalimbali katika kulizungumzia hili tutaangalia ni jinsi gani ICT inachocchea maendeleo katika pande zote kama
  • kilimo
  • biashara
  • viwanda
  • ujenzi
  • ubunifu
  • mashuleni
  • hospitalini
  • serikarini
  • manyumbani
na hata makanisani endelea kutembelea blog yangu utafahamu mengi kuhusu ICT...........
Itaendelea tarehe 05/10/2017 
usikose hii sio ya kukosa

Comments

Popular posts from this blog

UBISHI KATI YA KLABU KONGWE TANZANIA NANI KAMFUNGA MWENZAKE ZAIDI UMETATULIWA HAPA

Simba washikwa mkia naona jinsi watakavyo anguka tena