Posts

Mambo kumi usiyoyajua kuhusu idd amin

Image
1.Aliwahi kuwa bingwa wa ndondi wa uzito wa juu nchini Uganda mwaka 1960-1961 2.alijichagua kuwa Raisi wa Uganda kwa mapinduzi ya kijeshi, na waganda wengi walimchukulia kuwa ni shujaa kwa kumuondoa raisi walieona “anasuasua” Milton Obote mwaka 1971. 3.Aliua watu zaidi ya laki tatu (300,000) kwa kipindi cha miaka 8 aliyokuwepo madarakani kabla ya Kung’olewa na Majeshi ya kitanzania mwaka 1979 baada ya kutaka kuteka sehemu ya Tanzania. 4.Aliwatimua raia wote wenye asili ya Kihindi nchini kwake na kutaifisha mali zao zote. 5.alijipa vyeo kibao na kujiita Field Marshall Al Hadj Doctor Idi Amin Dada! 6.Inasemekana alimtumia malkia wa uingereza Elizibeth II barua za kimapenzi akimuomba amuoe ili aweze kujiita mfalme kwani alikuwa ameshajipa vyeo vyote kasoro “King” Yaani mfalme. 7.Ana watoto zaidi ya 40 huku akiwa ameoa wake 6. Mmoja wa wake zake alikutwa ameuawa kinyama baada ya kupata ujauzito na mtu mwingine. 8.Vyombo kadhaa vya Habari vimekuwa vikimuhus...

Kama kawaida nimekusogezea magazeti ya leo 20.05.2017

Image

UBISHI KATI YA KLABU KONGWE TANZANIA NANI KAMFUNGA MWENZAKE ZAIDI UMETATULIWA HAPA

Image
Kila mmoja atakuwa anataka kuona rekodi mpya ikitengenezwa na timu yake anayoipenda na pengine rekodi hiyo idumu kwa muda mrefu ili iendelee kumuumiza mpinzani wake kila inapotokea kubishana kisoka na kunogesha utani wao pindi wanapokutana. Timu hizo mbili zitakuwa zinaingia uwanjani zikiwa narekodo mbili kubwa tofauti na ambazo hutumika kama silaha kwa mshabiki wao katika mazingira ya kutambiana na kuendeleza utamadunia wa jadi katika utani huo. Simba ndio klabu yenye rekodi nzuri ya kuifunga yanga mara nyingi kwa idadi kubwa ya mabao, huku rekodi ya juu kabisa ikiwa ni mwaka 1977 iliposhinda goli 6-0 kichapo kibaya na cha aibu kwa mashabiki wa Yanga na kila wanapokumbushwa kichapo hicho wanakosa namna ya kujitetea kwani katika miaka ya hivi karibuni inaonekana ni vigumu sana Yanga kulipa kisasi hata kama Yanga itakuwa na kikosi bora kiasi gani, lakini mambo huwa yanakuwa magumu kwa upande wao. Ilikuwa Julai 19, mwaka 1977 Simba ikiichapa Yanga goli hizo ambazo zilifungwa ...