Posts

Showing posts from 2017
Image
JE WAJUA KWA SHILINGI LAKI TATU UNAWEZA ANZISHA MTAJI WAKO WA KUKU WA KIENYEJI? LEO TUANGALIE MCHANGANUO WA TSHS 300,000/= (LAKI TATU) KWA KUANZISHA MRADI WA UFUGAJI KUKU WA KIENYEJI.   Hapa tuta hitaji kuku 11 tu wakubwa wanao taga yani majike 10 na Jogoo 1 tu. Kwa kutumia kuku hao 11 baada ya miezi mitatu unaweza ukawa na kuku mia Tatu 300 au na zaidi kama unataka.   Nunua kuku wako katika chanzo cha kuaminika kuepuka magonjwa usinunue kuku sehemu za masokoni au kwenye mabanda ya njiani au kuku wanao safirishwa kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine.   Unapo nunua kuku wakubwa kwanza unapo wafikisha wape chanjo ya mdondo (Newcastle vaccine) ili kuweka rekodi yako ya chanjo maana chanjo hii hurudiwa kila baada ya miezi 3. Ukumbuke tarehe uliyo wachanja na tarehe utakayo wachanja tena baadae.   Usinunue kuku kabla hujaandaa banda na Chakula.   Katika sh. 300000 toa sh.69500 ambayo utanunua Chakula cha kuku, kuku hawa hawana formula ya Chakula hivyo unaweza kununua material ukachanganya
Image
 ICT WITH DEVELOPMENT...................... ICT imekuwa nyenzo kubwa sana katika maendeleo ya mtu mmoja mmoja na taifa kwa ujumla. pia ICT imeleta mapinduzi makubwa katika suala la maendeleo ya watu na taifa kwa ujumla nchi nyingi zilizoendelea tunaona jinsi gani ICT imewaongezea ufanisi na faida katika sekta na kazi mbalimbali katika kulizungumzia hili tutaangalia ni jinsi gani ICT inachocchea maendeleo katika pande zote kama kilimo biashara viwanda ujenzi ubunifu mashuleni hospitalini serikarini manyumbani na hata makanisani endelea kutembelea blog yangu utafahamu mengi kuhusu ICT........... Itaendelea tarehe 05/10/2017  usikose hii sio ya kukosa

KNOW MORE ABOUT ADOBE PRODUCTS

Image
dear, users i'm glad to inform you that from 16th Jully 2017 we are going to start a presentation of adobe products by checking  what are the adobe products how they work how are used an we will pass through different aspects, i wish you all the best. ndugu, watumiaji wa blog yangu napenda kuwataarifu kuwa kuanzia 16 julai 2017 tutakwenda kuanza uwasilishaji wa bidhaa za adobe kwa kuangalia nini maana ya adobe product jinsi gani zinafanya kazi jinsi gani zinatumika na tutapitia sehemu mbalimbali , nawatakia maandalizi mema ya kupokea kile ntakacho waandalia na naamini mtajifunza kitu.

INTRODUCTION OF ANDROID APP

Image
Offical 17/06/2017      15:21.30 natambulisha kwenu android application yangu kwa ajiri ya blog ya casdaseverine1 sasa unaweza download application hiyo katika smartphone yako. Enjoy it........
Image
Je unataka kufunguliwa android application kwa ajiri ya website, blog yako tupo kwa ajiri ako severine graphics designer tutakufungulia android app yako na kupublish playstore tutafute kwa namba                             0765672872 tutakufungulia android app yako sasa

PORTFOLIO OF COMPUTER NETWORK

Image
Portfolio is the collection of all reflection notes during lectures. below are the portfolio for TE 121  click here  to open      

kumbukumbu

Image
je ulikuwa wapi  na unakumbuka nini wakati unasikiliza wimbo huu???? bonyeza hapa kudownload

know how you can prevent your password

Image
How can you prevent your passwords????? To prevent your passwords from being hacked by social engineering, brute force or dictionary attack method, and keep your online accounts safe, you should notice that: 1. Do not use the same password, security question and answer for multiple important accounts. 2. Use a password that has at least 16 characters, use at least one number, one uppercase letter, one lowercase letter and one special symbol. 3. Do not use the names of your families, friends or pets in your passwords. 4. Do not use postcodes, house numbers, phone numbers, birthdates, ID card numbers, social security numbers, and so on in your passwords. 5. Do not use any dictionary word in your passwords. 6. Do not use two or more similar passwords which most of their characters are same, for example, ilovefreshflowersMac, ilovefreshflowersDropBox, since if one of these passwords is stolen, then it means that all of these passwords are stolen. 7. Do not use something that can

Nimekuletea magazeti ya leo 25.05.2017

Image

Simba washikwa mkia naona jinsi watakavyo anguka tena

INAWEZEKANA ni kweli mlinzi wa kati wa Kagera Sugar FC, Mohamed Fakhi alicheza mchezo wa Kagera 2-1 Simba SC akiwa na kadi tatu za njano, lakini Shirikisho la Soka nchini-TFF wamewapa Simba barua inayoonesha mchezaji huyo hakuwa na kadi tatu za njano-ambazo Simba wanadai ilikuwa hivyo. MALALAMIKO YASIYO NA MASHIKO FIFA Simba wamepeleka malalamiko yao FIFA wakiwa na nakala ya barua kutoka TFF ambayo wanadai haikuwatendea haki. Ieleweke Simba wameenda FIFA wakiwa na barua ambayo inaonyesha ‘mchezaji anayelalamikiwa ’ hakuwa na kadi tatu za njano. Kwa hiyo wanachojaribu kufanya viongozi wa Simba hivi sasa ni kuendelea kuwahadaa wanachama wao kwa sababu makosa ni yao wenyewe. Inawezekana makosa yasiwe yale ya kupoteza mchezo wa Kagera sababu bahati nzuri hawajanyang’any wa ushindi wao, bali wanapigania ushindi ambao hawakuupata ndani ya dakika 90. Kama unaona mbali katika hili unaweza kuona malalamiko ya Simba waliyopeleka FIFA hayana ‘mashiko,’ na nachokiona ni muendelezo wa u

Baadhi ya maneno aliyoyasema leo makonda katika mahojiano na star tv

Image
Baadhi ya Maneno Aliyokaririwa akisema Paul Makonda katika mahojiano yake na Star TV Leo... 'Ruge Anapaswa awaombe msamaha Watanzania kwa kuwatapeli kuwa Nilivamia Kituo chake' 'Tukio linaloitwa uvamizi kwangu ni igizo la Uvamizi'  'Clouds nilikuwaga naeda kula ugali na Maharage' 'Gwajima anajiita Askofu lakini sio Askofu kamili' 'Nimeuona uongo wa Ruge hadharani, Nimeouna utapeli wa Ruge Hadharani' 'Ruge ana akili ya kutunga nyimbo za mapenzi na Ng'onjera sio maendeleo ya Dar as salaam'

Kama ilivyo ada nimekusogezea magazeti ya leo 22.05.2017

Image